Friends talking in a café

Fanya mambo yako, furahia na uwasiliane zaidi

Woman using a touch screen on her laptop

Fanya mambo yako

Ingia kwa kutumia Microsoft ili uweke kila kitu unachohitaji kikiwa kimelandanishwa kwenye kifaa chako. Pata ufikiaji bila malipo wa Office Mtandaoni, Outlook, Skype, OneNote, OneDrive na zaidi.

Mvulana mwenye usukani mkononi mwake akicheza Xbox Live kwenye kompyuta yake ndogo.

Furahia zaidi

Pata burudani bora Kwa kutumia Xbox Live na Microsoft Store iliyobadilishwa ikufae kulingana na mapendeleo yako. Tafuta michezo, programu, muziki, filamu unazopenda na zaidi kwa urahisi unapoingia kwenye akaunti kwa kutumia Microsoft.

Mwanamke na mtoto wake wakitabasamu.

Wasiliana

Ingia ili uendelee kuwasiliana na watu ambao ni muhimu kwako, iwe ni kwa sababu ya kazi au kucheza. Pata simu za video za HD na utumaji ujumbe kwa kutumia Skype, na udhibiti kisanduku pokezi chako na Outlook, zote bila malipo.

Mtu anayepanda juu ya mlima.

Rahisi na iliyobinafsishwa

Faili zako muhimu huwa na wewe kila wakati na mipangilio ya akaunti yako ikiwa imelandanishwa kwenye vifaa vyako. Fanya vitu kuwa rahisi unapoingia kwa kutumia Microsoft.

Familia ikiwa imeketi katika meza ya chakula cha jioni.

Usalama Ulioimarishwa

Furahia ununuzi bila wasiwasi, mipangilio mahiri ya faragha, chelezo amilifu ya wingu, na usalama wetu wa kiwango cha kimataifa.

*Zawadi za Microsoft hazipatikani katika masoko yote.